umenifurahisha sanaHajaonewa huruma safari hii kiba wetu hshahhhah.. Kachambuliwa km karanga haswa.. Aache kulia lia.
Wazo zuri pia , maana mi hata meneja wake simjuiWell said, lakini nafikiri tatizo ni kiba na si management. Seven namuona kama ni mdada smart sana kama ni manager wa kiba hili hajaliona? Kwasababu si interview moja anapuyanga bali ni nyingi kama sio zote.
Ujue hata diamond mwanzo mwanzo alikuwa anapuyanga sana kwenye interview, ila nadhani ni mtu anayekubali kukosolewa, anapenda kujifunza na kubadilika.
Bado naamini kiba ni msanii mzuri pia, though am not his fan.
Tuseme ukweli tu....Kiba si mwanamuziki na hajawahi kuwa na muziki mzuri japo anabebwa sana ili akubalike ila wapi. Bongofleva hakuna vipaji ila waganga njaa tu.
me too, toka enzi hizo za nakshi nakshi huyu kaka hajawahi kunigusa hataaaaMkuu hata Mimi sijawahi kuvutiwa na huyo kiba hata siku moja kidoogo labda macmuga basi, nyimbo zingine naona hata belle 9 ana kipaji na sauti nzuri kuliko huyo kiba
Kwel kabsa,kiba asingekuwa domo sku nying sana tungeshamsahau,tena clouds ndo waliomrudsha ili amfunke diamond baada ya kuona diamond hataki kushkwa masikio kama wasanii wengneUmeongea kitu kizuri sana , wakati mashabiki wakiwa ni watu wa muhimu kwa msanii yeyote akiwemo kiba, kwa Kiba washabiki wake ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha yeye kupoteana kwenye mambo ya ki ufundi, japo pia nakubali kuwa mashabiki wake hao wamemsaidia pia , kwani anatoa wimbo mmoja kwa mwaka na wanautukuza mpaka mwaka unaisha.
Ila mi huwa nasema ukweli Kiba alirudi kwenye game kupitia domo, na anajua mashabiki wake wengi wako kwake kwa kuwa wanamchukia domo(he z just the altenative), japo si wote ila asilimia kubwa ya mashabiki wa Kiba kwao domo ni adui.
Sasa Kiba kila akikosea ili kuendelea ku waamsha mashabiki wake lazima amtaje domo kama "scape goat" ana shindwa kukiri kuwa yale yalikuwa ni makosa yake ya kubishana mara aanze yeye au wiz kid, pia anashindwa kukiri kuwa ni makosa ya waandalizi wa Tamasha na si Sallam.
*Menejment ya Kiba Tatizo lake ni moja, Kiba ana imanaje badala ya yenyewe i mmenej, lazima watafute namna ya kumshape Kiba ili aendane na ukubwa wa jina lake
*samahan kwa waraka mrefu, bado naamini kuwa Kiba ni msanii mzuri anayekosa vitu vidogo vidogo tu.
Tuseme ukweli tu....Kiba si mwanamuziki na hajawahi kuwa na muziki mzuri japo anabebwa sana ili akubalike ila wapi. Bongofleva hakuna vipaji ila waganga njaa tu.
hapana Kiba ni boooooooonge na mwanamuziki,fact is ni mwanamuziki kuzidi Naseeb
IIIIIIIIIILA HAJUI BIASHARA YA MUZIKI!
anakomzidi Naseeb ni hapa tu
-anaijua biashara ya muziki
-anajua wajibu wa mfanyabiashara wa muziki
-anajua mwonekano wa mfanyabiashara ya muziki
-anajua lugha ya mfanyabiashara wa muziki
-anajua mtazamo wa mfanyabiashara wa muziki
-anajua lifestyle ya mfanyabiashara ya muziki
VITU AMBAVYO KIBA VYOTE HANA
na bahati mbaya sana wakati yeye alizaliwa na uanamuziki,mwenzie alizaliwa na ujuzi wa biashara ya muziki
Mkuu hata Mimi sijawahi kuvutiwa na huyo kiba hata siku moja kidoogo labda macmuga basi, nyimbo zingine naona hata belle 9 ana kipaji na sauti nzuri kuliko huyo kiba