Vitu vya maana kwako ni vipi? Wewe ni nani mpaka uwaamulie watu kuhusu umaana wa mambo yao? Hata unajua uko jukwaa gani?Hakuna vitu vya maana vya kuongea? ?ndio maana hii nchi haiendelei sababu watu wengi wanapenda vitu vya kijinga jinga
Povu [emoji23] [emoji23] [emoji23]we video irekodiwe na nokia 2700 classic nani aangalia
Wewe unajua nini?Hajui lolote yule
Kick ndio zina mpaisha
Naomba umsamehe mkuu ni New memberVitu vya maana kwako ni vipi? Wewe ni nani mpaka uwaamulie watu kuhusu umaana wa mambo yao? Hata unajua uko jukwaa gani?
Kuna majukwaa mengi sana hapa JF na unaweza kwenda huko unakodhani kuwa wanajadili mambo ya maana (mf. uchumi, siasa, MMU n.k.). Hapa ni kwa ma celebrities kama akina Kiba. Wape uhuru watu kujadili ma-celebrities wao bila bughudha mkuu vinginevyo hutaeleweka!
Ali mmewako?Wewe unajua nini?
Ndio umeandika nini?Ali mmewako?
Uliyo yaonaNdio umeandika nini?