Alikiba anadai kuna baadhi ya wasanii wananunua viewz YouTube, lakini kwake anaona kama utoto tu

naona kingi ana tapatapa na baby yanje wake....huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Yelewiiiiii kitu tarrrtiiiiibu sindano chwiiiii
 
Kiba usikubali kuchonganishwa..... Usikubali kutumika..... Mengine piga kimya kimya
 
Anunue mara ngapi, hujui kuwa waliishikilia acc ya YouTube, wakaondoa robot viewers 30k, kutoka nyimbo yake ya mvumo wa radi.
Hivi ndivyo ilivyokuwa? ujanja unapokutana na Wajanja.
 
Mkuu huu uzi wako kuna baadhi ya mambo sio ya kweli wakati unaandika huu uzi mvumo wa Radi ilikuwa na viewers 1.4 Million
 
Tangu ilivyotoka hadi leo bado ni number one
 
‘kataa kuwa kaa´ clouds wanahisi watanzania wote huwa wanaisikiliza yenyewe tu na MSANII WAO kING KIBAMIA
 
Wanaoharibu ni views wanaoview kwa same ip adress via different accounts. Inaonekana kama spam ndio maana youtube wanawapunguza hao duplicates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…