architect astely
Member
- Nov 21, 2015
- 34
- 13
Ndugu wanajamii forum..leo nilipata nafasi nikaweza kusikiliza nyimbo za hawa wasanii wawili wakubwa wa Tanzania Alikiba pamoja na Diamond.Baada ya kusikiliza nyimbo nyingi za kila mmoja toka kipindi walichoanza kujulikana kimuziki nikaja gundua kuwa Alikiba anakipaji na anajua mziki zaidi ya Diamond.Sijaangalia vigezo vingine kama nani anakubalika zaidi au nani anahit zaidi kwa sasa. Ni maoni yangu binafsi so please argue and don't shout
Mkewangu ni mwanamke na si msichanaKumbe?
Kwahiyo hadi mke wako mume wake ni Ali Kiba wewe ni mshika pembe tu maziwa anakamua Kiba?
Hatari hii!
Acha kujibaraguza wewe,wajanja tumeshakuelewa.....umekubali kuchapiwa kiutu uzimaMkewangu ni mwanamke na si msichana
Unapoa huyu anajua kuliko mwingine, basi weka na vigezo unavyotumia kupata ulinganifu, ili tukuelewe. La sivyo utabaki kuwa mshabiki wa huyo unaemwona yuko zaidi.Acha kujibaraguza wewe,wajanja tumeshakuelewa.....umekubali kuchapiwa kiutu uzima
Kuna wakati na imeishatokea mara kadhaa dunia nzima kupotoka juu ya jambo fulani. Kama ambavyo wengi wamepotoka hivi sasa juu ya uwezo wa hawa wasanii wawili.Wewe unasema lkn wasikilizaji ndyo wenye jibu, mbn hawi maarufu kama Diamond waTZ ndiyo shida yenu. Ni sawa kwa upande wako lkn kwenye vigezo vya wengi na utamu wa sauti wengi wape. Kama ana mashabiki wengi hapa ndani na nje kuliko Kiba ni dhahiri ni mzuri kuliko. Siyo mpenzi wa nyimbo zao lakini angalia mwitikio wa jamii maana hata ukapinga jamii inakukatalia.
Nikiongeza maneno mengine nitaharibu bureAli Kiba hajui mziki ila anajua kuimba