Alikiba analipwa Tsh ngapi kwenye shoo Moja...?

Aha ila king Kiba haztak pesa ase
Kuna muda ataita show wanaenda watu Mia a nashindwa kupiga saiv wakat bado yupo kwenye pick
Ali kiba
-hana akili
-hana juhudi
-hana uwezo
-Ali kiba hata abwebwe vipi bado habebeki
-Ali kiba ni mvivu
 
Utawasikia wanasema kiba analipwa pesa nyingi basi tu hapendi kujionesha
 
ALI KIBA HANA TAMAA ZA DUNIA NA HAPENDI SHOWOFF ZA KULIPWA MIHELA MINGI
 
Ali kiba
-hana akili
-hana juhudi
-hana uwezo
-Ali kiba hata abwebwe vipi bado habebeki
-Ali kiba ni mvivu
hivi mtu mvivu mnamuanzishia topic kila kukicha humu?
 
huwa anapewa milion moja na nusu pale anapopakiwa kwa lile gari la fiesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…