Alikiba Anamfunza adabu Sadala huko Youtube

Inakuwaje watu wacoment zaidi kwa trend no2 kuliko trend no1?...hakuna shida mahali??

 
ila zuchu anamuendesha sana kiba, just imagine ndombolo bado inakimbizwa na dance video... akaona haitoshi akaamua alete na salute ambayo nayo bdo kidogo itaanza kukaliwa kooni na official video

yaani nyimbo mbili bdo znakimbizwa na wimbo mmoja.! hapa ndo nimeamini kiba kapata mshindani wake og, wale wengine ni fake
by team zuchu, ain't WCB
 
Zuchu (one woman army) against kikundi cha waimba ndombolo + rude boy

the heavyweight madame
 
ila dunia haiko na usawa hata kidogo,mwenzako yuko Marekani anapambania makolabo na maproduction ya kimataifa we uko bongo sijui kenya unapambania views m 2 youtube ambazo mwenzako alishavunja hayo marekodi kitaaambo saana😆
 
Zuchu ashindane na kiba? Nandy hajamfikia bado, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haitajii akili au common sense kujua nani anamzidi mwenzie

Ili jifariji tu robidinyo [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…