Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Mie ni mfuatiliaji wa bongo videos muda mrefu. Nimetazama video za Kiba tangu Sindelela mpaka Seduce me!
The man knows how to sing na ana sauti nzuri ya kuvutia ila kwa upande wa muonekano na mpangilio wa video yuko too shallow! Video inaongelea ugali yeye anaweka maringi ya bajaji, yaani hakuna uhusiano kabisa. Upande wa rangi napo ndo kabisa...poor colouring. Mfano hii Seduce me, hata kama ni mchana ukiingalia utafikiri uko shimoni japo ni kastyle kapya ka songi!
Aje pia mdundo uko bomba ila video too poor! Yale ma vampire aliyoweka cjui ndo alikuwa anayaita yaje?
Si vibaya kuchanganya ideas lakini ni vizuri zikaendana na theme ya wimbo!!
Let him learn from others! Kiba c wakuendeshwa kwa kiki, anajua kuimba ila ajirekebishe.
Sent using Jamii Forums mobile app