Alikiba atazidi kupitwa kila siku

we mtoa mada achana na miakili ya viroba kama umetumwa sema. hivi ndomo nae ni mwanamziki? non sense idioty. achana na cheketua chekecha inatisha kitu MWANA. K.4.REAL anatisha dogo
 
hahahaahaa sijui umewaza nini mkuu

Nmewaza MELTDOWN ya JF kama Kiba Angeamua kuimba Taarab kama msanii wetu mkubwa Diamond!!!

Manake kiba katoa Chekecha, tukawaambia Music umekuwa biashara siku hiz, LAKINI bado ndugu Kiba akapondwa saaaaana, but sahiv "msanii mkubwa" kaamua kutuletea "Mipasho" naona mnayarudia yale mliyokuwa mnayaponda katika mantiki nzima ya Ngoma ya Kiba!!!


Sema siku zote MAISHA HAYAENDI BILA UNAFIKI!!!!
 

hahahaa hlf ubaya hawataki kukubali kuwa Mond anatishaaaa japo kimoyo moyo wanaelewaaa.... eeh sio dhambi kusema ukwel jamani.... Mond the Great.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…