Alikiba atazidi kupitwa kila siku


Nakumbuka alivozamia kwenye harus ya p square watu walimcheka sana.
 
Ujue MosDef nakuelewa sana.Tokea mwanzo nimekaa kimya nione watu watakavyoingia chaka hapa maana hawaelewi unamaanisha nini.
Na hata baada ya kusema hivi bado tu....Hahahaaa kuna watu vilaza sana aisee.

Imagine Ali Kiba na Abdu kiba wangeenda hivyo Msibani!!!!
 
Last edited by a moderator:

Msaliti mkubwa wewe huna lolote unalojua, ww ni mamluki wa Dangote huna tofauti na Zitto.
 
Ninachokiona hapa watu wanachuki za dhati dhidi ya Kiba.

Mziki anoufanya ni pamoja na kujiongezea kipato na kuburudisha mashabiki wake. Sasa wewe kinakuuma nini asipojulikana kimataif?

Kuna jamaa hapo kamtukana matusi mazito..zezeta..nk yote ya nini?
Kwani kumpenda mtu fulani ni lazima umchukie mwingine!

Wote ni vijana wa Kitanzania yapasa kuwasupport!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…