PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Huwenda alitaka kutelezesha nyoka pangoni tu hile minyama sio mchezo!!!Msanii unajiita King alafu una ajiri manager ambaye hana experience!!
Kibakuli ana vituko sana.Hapo washanjuna wamemalizana.
Tena wasiokuwa na uzoefu anaangalia uzuri tu!!!Alikiba ni kama Muhammar Gaddafi alikuwa bodyguard wake walikuwa ni wa kike tu naona jamaa yetu pia kaamua Meneja zake ni wakike tu
Mixed emotions[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani zile emoj zako zinahusu nn?
Huyo dada labda awe meneja wa mgahawa,kwa mwili huo kama lemutuz akili ni mgandoMsanii unajiita King alafu una ajiri manager ambaye hana experience!!
Kibakuli ana vituko sana.Hapo washanjuna wamemalizana.
Haya sawahMixed emotions
Tired face and happiness
Wanasema wenye miili mikubwa wana akili sana.Huyo dada labda awe meneja wa mgahawa,kwa mwili huo kama lemutuz akili ni mgando
Muda wote wanawaza kulaWanasema wenye miili mikubwa wana akili sana.
Wapo ambao ni wavivu wa kula lakini wameridhika na maisha.Muda wote wanawaza kula
Dizaini wanaundugu!!!Huyu manager c ni Dada ake na DC wa kisarawe??
Ww.. umewah kuumwa degedege utotoni ee?Ali Kiba mmoja ni sawa na crew nzima ya wasanii wa WCB
Ali Kiba ni msanii haswaaaaaWw.. umewah kuumwa degedege utotoni ee?