Huwezi kujudge kutokana na hizo picha..Wangekuwa wamepiga picha ya pamoja hapo sawa
Kwani bado kuna ndoa si ilishakuwa ndoano!.Kweli bro!!...then jide na Fa ile beef ilikua ya kuchonganishwa tuu labda hatujui ya hao wanandoa!
Kwani bado kuna ndoa si ilishakuwa ndoano!.
Yeah..Mi naona Fa ndo alizingua..Na nadhani hawako poa hadi sasaHahah...hayo ya ndoa inabidi tuwaachie wao tu maana hizo ndoa wanazijua wao usiku wakishafunga mlango
Yeah..Mi naona Fa ndo alizingua..Na nadhani hawako poa hadi sasa
Yeah..Nje ya kazi pia walikuwa marafiki..Fa akaamua kuzinguaKabisa!!...halafu Fa na Jide walikua wanatengeneza "combination" kali sana kama utakumbuka enzi hiyo
Yeah..Nje ya kazi pia walikuwa marafiki..Fa akaamua kuzingua
FA alizingua kwa sababu ya kufata nini mabosi zake wanataka, baada ya FA muziki kuwa haumlipi vizuri aliside na Ruge na akapewa cheo THT (kitu kama mkurugenzi au nini sikumbuki).
Sasa kwenye bifu ya Jide na Clouds ikawa inabidi Clouds amtumie FA huyo huyo kupambana na Jide, kama unakumbuka Jide alitangaza tar ya show halafu kina FA nao wakatangaza tarehe hiyo hiyo kufanya show, then iliahirishwa sababu ya Msiba wa Ngwair na baadae tena wakaweka tarehe sawa.
Anti-Virus za Sugu na Vinega wamewahi kumchana FA kwa usnitch.
All in all, njaa ndo zinasababisha yote haya.
Yeah..Haikuwa THT..Wakina Ruge walianzisha TFU(Tanzanian flavour unit)..Fa ndo akapewa uongozi wa TFU..Zen wakataka kukisajili basata kama chama cha wasanii..Ila basata ikawakatalia na kuwaambia tayari kuna chama cha wasanii (TUMA)..So hawawezi kukisajili hicho..Kama msanii anataka basi ajiunge na TUMA
Wale jamaa wakafanya ujanja ujanja wakakisajili hivyohivyo kama kampuni..Ugomvi wa Fa na Sugu ndo ukaja hapo..Ndo mana wakamchana
Ndo hivyo mkuu..Utakumbuka hata kipinde kile Raisi alivyoitoa ile studio aliwakabidhi TFU..Baadhi ya watu ndo wakawa wanahoji kwann wakabidhiwe TFU na sio TUMA..Mana TUMA ndo chama cha wasanii kilichokuwa kinatambulikaAsante sana kwa info, mi nilijuaga ni THT.
Ndo maana hata nilikuwa sielewi elewi kama ni mkurugenzi ama nini.
Thanks mkuu.