Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake namba saba hili ilikuonyeha support yangu.