Alikiba fanya kile unachoweza, acha kushindana na Diamond

21milion zilikuwa za madawati?
Ninashaka unaongea usichokijua,...achana na tabiri uchwara mwache akukuruke ataposhindwa hapo hapo ndo jasho lake.

Pambana kivyako achana na hao wenye vipaji vyao wale kwa jasho lao.
 
Rudi utotoni, ndo pumba za kumshauri King kiba hizi, King ni one man army, hahitaji kolabo kutusua kimataifa, na ka single kake ambako kasimama peke yake kubeba tuzo za kimataifa, kwa hiyo kama diamond anafanya kolabo na wasanii wakubwa sio lazima kiba afanye anayofanya mondi
 
Acheni uchochezi. Badala ya kujenga nyumba mnajenga majungu
 
Nahisi apo ulipo kifua kimekubana maana cyo kwa povu hilo
 
21milion zilikuwa za madawati?
Ninashaka unaongea usichokijua,...achana na tabiri uchwara mwache akukuruke ataposhindwa hapo hapo ndo jasho lake.

Pambana kivyako achana na hao wenye vipaji vyao wale kwa jasho lao.
GSM
I hope I'm clear Mkuu
Mtoa mada karopoka sana.....
 
GSM
I hope I'm clear Mkuu
Mtoa mada karopoka sana.....
Sawa sawa huwa nashangaa mtu kumwona mwenzake atumiaye kipaji chake kuendesha maisha...
Kuna wengi wanavipaji wameshindwa kunufaika navyo wameishia kuwatumikia watu ili siku zipite.
 
Naunga mguu hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…