Alikiba, Harmonize , Rayvanny , Mboso , Lavalava ...mwombeeni Dimond maisha akifa na nyie game yenu kwisha.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Alikiba , Harmonize , Mbosso , Layvanny , Lavalava ...nyote akikishen mnamuombea diamond maisha maana diamond akifa nanyie game yenu kwisha.

Maana amna vipaji halisi ...mnabebwa na upepo wa mond....huku mwenzenu akibebwa na upepo wa domo na CMg
 
Hahahahahahah wcb wana vipaji akifa mond ali kiba nayeye ndo kwishnee
 
Tanzania bhana ndio mnataka watu kama huyu kua MD wa vodacom tanzania [emoji1241]. Pole yenu
 
Sio jambo jema kuongelea mauti ya binadamu mwezako, usifanye matambiko ya hovyo kwa kiumbe chenzako. Wote njia yetu ni moja hatujui muda wala saa
 
Sio jambo jema kuongelea mauti ya binadamu mwezako, usifanye matambiko ya hovyo kwa kiumbe chenzako. Wote njia yetu ni moja hatujui muda wala saa
 
Alikiba , Harmonize , Mbosso , Layvanny , Lavalava ...nyote akikishen mnamuombea diamond maisha maana diamond akifa nanyie game yenu kwisha.

Maana amna vipaji halisi ...mnabebwa na upepo wa mond....huku mwenzenu akibebwa na upepo wa domo na CMg

VERY STUPIDY ADVICE, BUT GOOD CONCERN, WASIMWOMBE ASIFE, WAJIJENGE NA KUWEZA KUTENGENEZA MAJINA NA KUJITEGEMEA
 
Wamwombee asife au asishuke kimuziki!?kushuka kimuziki atashuka tuu ndo muziki ulivyo,hata uwe unatoa nyimbo Kali vipi kuna muda watu wanachoka tu wanakuwa wanataka vitu na watu wapya!!
 
Anayebebwa ni Ommy we msanii gani gani tokea mwaka jana, ameshindwa kupata show ya peke yake, anakazi ya kudandia show za Kiba.
Hahahaha.. Kwani Dubai kwenye michanga ya dhahabu hua anakwenda kufanya nini?
 
Wamwombee asife au asishuke kimuziki!?kushuka kimuziki atashuka tuu ndo muziki ulivyo,hata uwe unatoa nyimbo Kali vipi kuna muda watu wanachoka tu wanakuwa wanataka vitu na watu wapya!!

Hii imeshaanza haswa kutokana na tabia zake za kipuuzi kutowajali wasanii wenzake na kujiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…