Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nyanyi wapendwa wa mungu
Lengo si kulinganisha ip ngoma kali kati ya zilipendwa na seduce me mana hakuna asiyejua seduce me ni kali zaid ya zilipendwa.
Ngoma ni nzur lakin si nzur kama beet lilivyo zur
Hongera sana Man water lakin alikiba hiyo beet hujaitendea haki
Kama ungekaa na kutuliza kichwa vizur haki ya nan naamin hii ngoma ungekaa kali zaid ya hapa ilipo
Alikiba umebolonga sana kwenye hilo beet
Cc mbitiyaza my baby
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app