Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Aug 28, 2017 #1 Aman iwe nyanyi wapendwa wa mungu Lengo si kulinganisha ip ngoma kali kati ya zilipendwa na seduce me mana hakuna asiyejua seduce me ni kali zaid ya zilipendwa. Ngoma ni nzur lakin si nzur kama beet lilivyo zur Hongera sana Man water lakin alikiba hiyo beet hujaitendea haki Kama ungekaa na kutuliza kichwa vizur haki ya nan naamin hii ngoma ungekaa kali zaid ya hapa ilipo Alikiba umebolonga sana kwenye hilo beet Cc mbitiyaza my baby LONDON BABY Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe nyanyi wapendwa wa mungu Lengo si kulinganisha ip ngoma kali kati ya zilipendwa na seduce me mana hakuna asiyejua seduce me ni kali zaid ya zilipendwa. Ngoma ni nzur lakin si nzur kama beet lilivyo zur Hongera sana Man water lakin alikiba hiyo beet hujaitendea haki Kama ungekaa na kutuliza kichwa vizur haki ya nan naamin hii ngoma ungekaa kali zaid ya hapa ilipo Alikiba umebolonga sana kwenye hilo beet Cc mbitiyaza my baby LONDON BABY Sent using Jamii Forums mobile app
Mama Sabrina JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 16,620 Reaction score 27,589 Aug 28, 2017 #2 Tengeneza yako nasi tutoe maoni
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Aug 28, 2017 #3 Haya kaoshe nyapu yako... Mtasema yote mwaka huu... [HASHTAG]#pasuakichwa[/HASHTAG]
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Aug 28, 2017 #4 [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]2M wiewers!!!!halooooiwwwwwq!!! Fight with ur weather.....!!!!!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]2M wiewers!!!!halooooiwwwwwq!!! Fight with ur weather.....!!!!!!
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Aug 28, 2017 #5 Ww Nanyupu huchoki tuu kulalama? Kiba sio.mwenzako anaingiza mchongo mrf ww kalia kulia lia tuu. By the way mziki ni kuanzia beat. So kama beat ni nzuri I hope kidogokidogo utaikubali tuu
Ww Nanyupu huchoki tuu kulalama? Kiba sio.mwenzako anaingiza mchongo mrf ww kalia kulia lia tuu. By the way mziki ni kuanzia beat. So kama beat ni nzuri I hope kidogokidogo utaikubali tuu
Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,226 Aug 28, 2017 #6 sio mbaya imeshaanza kupenya taratibu beat na mistari itakuingia soon Akifa shekhe kazi ya Mungu Akifa mlevi sababu ya Pombe
sio mbaya imeshaanza kupenya taratibu beat na mistari itakuingia soon Akifa shekhe kazi ya Mungu Akifa mlevi sababu ya Pombe
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,654 Reaction score 8,564 Aug 28, 2017 #7 Wananiita Mr Misifaaaaa Nina Mandinga Mapyaaaaa Kweli Pasua Kichwa Hatari Tena Bila Collabo