[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa ni march 18 ya mwaka 2018 tuwe na subira king siyo mtu wa show off sana
Mkuu njoo utupe mrejeshoChuki tuu hakuna jipya.
Ilishafanyika mach 17Mkuu njoo utupe mrejesho
Vipi Bruno mars na justine beibar walisemaje kuhusu amAlikiba performance yake?Ilishafanyika mach 17
Vipi Bruno mars na justine beibar walisemaje kuhusu amAlikiba performance yake?
Ndo nauliza sasa mrejesho wa tamasha ilikuwaje? Mtanzania mwenzetu alipokelewaje?Msingi wa taarifa ni huu hapa...
Habari zenu wapenda burudani,
Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani.
March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika tamasha kubwa kabisa duniani na kwa nchi ya marekani pia lijulikanalo kama SOUTH BY SOUTHWEST music festival msanii pekee ambae ataiwakilisha Afrika atakua ni Alikiba kutoka Tanzania.
Pia ijulikane kua ni moja ya matamasha ambayo viingilio vyake huanzia ($ 250) hadi ($5000) kwa VIP.
Tusupport wasanii wetu, Ahsanteni
Wasiliana na menejimenti ama fuatilia vyanzo vingine vya habari kwani sijafuatilia hilo kutokana na kubanwa na majukumu ukiweza wasiliana hata na mtoa mada...Ndo nauliza sasa mrejesho wa tamasha ilikuwaje? Mtanzania mwenzetu alipokelewaje?
Teh tehWasiliana na menejimenti ama fuatilia vyanzo vingine vya habari kwani sijafuatilia hilo kutokana na kubanwa na majukumu ukiweza wasiliana hata na mtoa mada...