AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Bila kupepesa macho, binafsi naanza kuona the rise of alikiba na the fall of diamond kimuziki!!
Kwa nini?? Mond aingie kwenye muvi tu sasa na akafanye ambacho wana bongo movie wameshimdwa fanya toka kanumba, akafanye mapinduzi au aendelee kuwika kupitia kina raymond na harmonize, usichanganye kufulia na kuchuja kimuziki, mond hatafuliwa kifedha!! Ni kachokwa, kabakisha kwenda global tu ila huko hatotoboa sana!! Sasa hizi ale pesa za endorsements!!Hapo kwenye the fall of diamond mkuu bila shaka utakuwa na makengeza kama sio chongo
Acheni uvivu wa kufikiri nyie... Sumbueni vichwa kufikiri au pia kuna na fact ndo ulopoke, Diamond ana fall kivipi? Izo deals alizopata ndo zifanye diamond ashuke? Una akili ww? Unataka kunambia wasanii wote Africa ambao awajapata deals za alikiba wamefall? Just for the record, Diamond alishawai pewa heshima kama iyo ngoma zake kupigwa MTV base kipindi cha mwezi mzima kama zawadi ya birthday yake.. So anakopita Ali diamond kwa njia moja au nyingine tayari.. Yan kukuraisishia pale ambalo Ali alisaidiwa kuwa wa kimataifa Diamond ni wa kimataifa tayar.. Do the maths..Mvivu wa kufikiri, huna facts..Shut the f**k upBila kupepesa macho, binafsi naanza kuona the rise of alikiba na the fall of diamond kimuziki!!
Umemchoka ww, unajua usilazimishe mambo kwa hisia zako binafsi alimchoka diamond obvious ni team ex.. Au nawe ni team ex... Kama ndio basi sawa kachokwaKwa nini?? Mond aingie kwenye muvi tu sasa na akafanye ambacho wana bongo movie wameshimdwa fanya toka kanumba, akafanye mapinduzi au aendelee kuwika kupitia kina raymond na harmonize, usichanganye kufulia na kuchuja kimuziki, mond hatafuliwa kifedha!! Ni kachokwa, kabakisha kwenda global tu ila huko hatotoboa sana!! Sasa hizi ale pesa za endorsements!!
Kwa nini?? Mond aingie kwenye muvi tu sasa na akafanye ambacho wana bongo movie wameshimdwa fanya toka kanumba, akafanye mapinduzi au aendelee kuwika kupitia kina raymond na harmonize, usichanganye kufulia na kuchuja kimuziki, mond hatafuliwa kifedha!! Ni kachokwa, kabakisha kwenda global tu ila huko hatotoboa sana!! Sasa hizi ale pesa za endorsements!!
Ni maoni yangu, huna budi kuyakubali kuwa ni maoni yangu!!Yaaan kwa hii comment yako nimeona kumbe sio makengeza wala chongo....ni kipofu kabisaaaaaaaaa
Ni maoni yangu, huna budi kuyakubali kuwa ni maoni yangu!!
Kubali kuwa ni maoni yangu, maoni ya mimi barafuyamoto, kuyakubali kama ni ya kweli au la hiyo ni juu yako, ila kubali kuwa ni maoni yangu. Au nitumie neno YAHESHIMU kuwa ni maoni yangu, hapo je??Mkuu barafuyamoto siku zote maoni ya mtu uwa yanaheshimiwa..kuyakubali na kuyakataa ni hiari,sio lazima kama usemavyo.
Typing error kibao vepee ndio kwanza watumia smartphone touchscreenMsanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris briwn, John legend, Beyonce, Davido etc, Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Dinald trump wa marekani, baada ya kuweka tena headlines kwenye vyombo vikubwa vya Africa, hasa baada ya kituo kikubwa cha #SoundcityAfrica kuamua kuidedicate siku ya leo tarehe 21/5/2016 kama #ALIKIBA DAY" kama sehemu ya heshima kwa mziki wa msanii huyo pamoja na kuapreciate fursa aliyoipata ya kupata shavu la kuwa signed chini label kubwa ya sony.
Hopeless individual!!Acheni uvivu wa kufikiri nyie... Sumbueni vichwa kufikiri au pia kuna na fact ndo ulopoke, Diamond ana fall kivipi? Izo deals alizopata ndo zifanye diamond ashuke? Una akili ww? Unataka kunambia wasanii wote Africa ambao awajapata deals za alikiba wamefall? Just for the record, Diamond alishawai pewa heshima kama iyo ngoma zake kupigwa MTV base kipindi cha mwezi mzima kama zawadi ya birthday yake.. So anakopita Ali diamond kwa njia moja au nyingine tayari.. Yan kukuraisishia pale ambalo Ali alisaidiwa kuwa wa kimataifa Diamond ni wa kimataifa tayar.. Do the maths..Mvivu wa kufikiri, huna facts..Shut the f**k up
Kachokwa na nani? Diamond alianza kutabiliwa atashuka miaka 3 iliopita lakini graph inaenda opposite , kajipange upyaHopeless individual!!
Povu la nini?? Ni wapi nimesema wasanii ambao hawajapata deals kama ya alikiba wamefeli??
Diamond kachokwa, kwenye muziki hana kipya zaidi ya fanatics kama wewe!!
usisema kachokwa sema umemchoka kumuona au kusikia ana zidi kuendelea tu,jiongelee nafsi yako by the way anashuka au anapanda ww binafsi kinakuumiza nn,mtt wa kiume,acha jealous utakufa na kihoroHopeless individual!!
Povu la nini?? Ni wapi nimesema wasanii ambao hawajapata deals kama ya alikiba wamefeli??
Diamond kachokwa, kwenye muziki hana kipya zaidi ya fanatics kama wewe!!