Alikiba kama Donald Trump, Soundcity wampa heshima hii leo

"Dinald trump" ndio nani huyo?
 
Umfananisha kiba na huyo mwendawazim trump ambaye dunia nzima hawataki awe rais haupo serious.
 
Alafu watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba hiyo ni Subsidiary ya Sony BMG...wana lebo nyingi karibia mabara yote....na hizi lebo haziingiliani

Kwahyo hayuko level moja na hao mnaowataja...
#Aje
 
Mm napenda ALLYKIBA arudie ile sauti yake aliofanyia kollabo na dogo mmoja hivi, wimbo: Uaminifu (BONGE LA NYAU); Sharobaro Entertainment, G-PROJECT.

Huwa naurudia rudia karibu mara 50 niusikilizapo.
 
kweli nimeamini MUNGU hakumpi roho mbaya. Ila mnaipandikiza tu wenyewe.
 
Kwa sasa unapozungumzia Diamond unazungumzia taasisi! Unamzungumzia Diamond kiurahisi kama unamzungumzia Mr. Blue???'
 
Wakati diamond ana make headline sound city ulisema iyo.channel gan n local hadi yamoto band na shilole nyimbo zao zinapigwa vipi leo imekuwa channel ya kimataifa [emoji12]
 
Mm napenda ALLYKIBA arudie ile sauti yake aliofanyia kollabo na dogo mmoja hivi, wimbo: Uaminifu (BONGE LA NYAU); Sharobaro Entertainment, G-PROJECT.

Huwa naurudia rudia karibu mara 50 niusikilizapo.
huo wimbo ata mimi binafc naukubali sn ktk alizowahi kushirikishwa...Kiba mara nyingi anaposhirikishwa huwa anafanya poa sna kuliko kwenye ngoma zake mwenyewe,sasa cjui kwa kuwa huwa anaimbaga sehemu ndogo tu hivyo huweza kuitawala vyema au vipi!
"uaminifu(bonge lanyau)", "mtoto wa kariakoo"(abby skillz), "ayaya"(spince seseme) "jike shupa"(nuh mziwanda"....katisha sana humo Ali kiba kwenye chorus.
 
ali hata husponiendea kwa mganga nakupenda nakukubali nakusapot
 
Donald Trump
 
Eti wasanii wenzake kina John Legend na Beyonce! Hwa hwa hwaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…