Kutelekeza mtoto ni fimbo wanayotumia wanawake kuficha ukorofi wao.Kuna tetesi zinazoenea kwa kasi King Kiba kamtelekeza mtoto wake kama tetesi hizi zinaukweli ndani yake hii ni aibu Kubwa kwa msanii mkubwa Africa na Tanzania kwa ujumla.
View attachment 718203