Alikiba kuisimamisha dunia August 25

Alikiba kuisimamisha dunia August 25

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.

Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director Mejialabi, South Africa.
 
Huyu bwana namkubal ajabu, anajua nn anachofanya, achana na hawa wapenda sifa singo moja tu tena inayong'aa wiki moja na kuchuja anajiona kamalza kaz,

CC wanaooga na kupendeza yaan wananiii...

Hahahahaha Mkuu ningekuwa karibu lazima ungepata offer ya serengeti ya baridi, Asante kwa busara zako, sisi ni kazi tu. Yoooooh
 
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.

Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director Mejialabi, South Africa.
Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing somewhere
 
Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing
somewhere

Sure Mkuu mfano cheki Ngoma ya Aje tangu imetoka bado ubora wake upo palepale as if ndio umetoka jana, ila hawa ndugu zetu ngoma yao sijui kdogo kwanza a haielewek, haina maana sijui nan kaandika
 
Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing somewhere
Acha wivu mkuu,
 
sasa baada ya kumtambulisha msanii wako na kazi zake unaanza kumdis mtu ambaye akitoa nyimbo anaipita viewers nyimbo bora youtube

naona mnaanza kuboost nyimbo bora baada ya kufunikwa na nyimbo mbovu
Ndo nashangaa
 
Hawa wa Kiba bila kudis upande mwingine hawasikiki, waache tu wahangaike.
 
Back
Top Bottom