AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Huyu bwana namkubal ajabu, anajua nn anachofanya, achana na hawa wapenda sifa singo moja tu tena inayong'aa wiki moja na kuchuja anajiona kamalza kaz,
CC wanaooga na kupendeza yaan wananiii...
Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing somewhereHii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga, show off za kitoto na mziki wa big jii.
Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director Mejialabi, South Africa.
Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing
somewhere
daah aiise hii itakua hatari kama dunia itasimama ni bora isimame nyakati za usiku wakat tumelala
Acha wivu mkuu,Yaani ukiipiga MAKIMUGA leo inaamsha shangwe na hisia za wasikilizaji kuliko sijui ile wanaita kidogodogo sijui nimeisikia juzi na wanaijeria flani hv jamaa yetu wa madale. Kiufupi mm namshauri Mondi na menejimenti yake kama anavyopendaga yy kuita its better they sit down na kujitafakari walikotoka walipo na wanaokoenda, wamepiga hatua sawa but nahisi ukuta upo karibu yao sana....... singles sustainability is missing somewhere
Ndo nashangaasasa baada ya kumtambulisha msanii wako na kazi zake unaanza kumdis mtu ambaye akitoa nyimbo anaipita viewers nyimbo bora youtube
naona mnaanza kuboost nyimbo bora baada ya kufunikwa na nyimbo mbovu
Nimeacha mkuu..........Acha wivu mkuu,
Hawa wa Kiba bila kudis upande mwingine hawasikiki, waache tu wahangaike.sasa baada ya kumtambulisha msanii wako na kazi zake unaanza kumdis mtu ambaye akitoa nyimbo anaipita viewers nyimbo bora youtube
naona mnaanza kuboost nyimbo bora baada ya kufunikwa na nyimbo mbovu
Unawaza majungu2 mwenzetuSure Mkuu mfano cheki Ngoma ya Aje tangu imetoka bado ubora wake upo palepale as if ndio umetoka jana, ila hawa ndugu zetu ngoma yao sijui kdogo kwanza a haielewek, haina maana sijui nan kaandika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuadaah aiise hii itakua hatari kama dunia itasimama ni bora isimame nyakati za usiku wakat tumelala
Asingekuwa dada basi tungesema ana wivu wa kike.Unawaza majungu2 dada etu