Alikiba kwenye ndoano ya Mange

Mleta mada umepotosha umma. Mange kasema kiba ukimuacha jokate atakuwa anaumwa kwan jokate ni kama Beyonce wa Tz. Na kasema ikiwa atamuacha basi hajui atamuoa nani ambaye anamfaa labda amuoe yy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ngoma ya kiba ni Kali, pale hamna cha promo wala nini.

Jamaa amefanya kazi nzuri kuliko wale "Yamoto bendi"..manake wimbo umekua WA kihenga kweli kweli. Umekaa kitoto sana.

Jokate yuko so Uggly kama sio ile michubuo ya kunywa Maji kama rei.
But kwa kiba atakua amepata matawi, manake binti kraiteria nyingine kama "ngeli" yupo vizuri sana.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Numbisa ohooo...kumbe the one and only Bongo diva anazindua muvi. . dah all the best kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…