Alikiba: Mange Kimambi ni shabiki wangu

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Hitmaker wa Seduce Me, Alikiba amefunguka juu ya mahusiano yake na Mange Kimambi.

Mara kadhaa Mange amekuwa akimpa support kubwa msanii huyo huku akimtetea kwa kila hali endapo hali ya mashambulizi kutoka kwa wapinzani inaonekana kuwa kubwa.

Akiongea na Bongo5, Ali amesema, “Nimeshawahi kuonana na Mange nimepiga naye picha, ni kama shabiki wangu na nina appreciate kwamba anapenda muziki wangu kwa sababu ninamuheshibu kila mtu anayeni support.”

“Pili nina u-free nina haki na kila mtu, mimi nina haki ya kupendwa na mtu yoyote. Nina haki ya kupendwa na Mange na nina haki ya kupendwa na mtu yoyote yule,” ameongeza.


Alikiba, Mange Kimambi na Ommy Dimpoz wakiwa katika picha ya pamoja
 
O love mange too.



"Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana na"
 
Kati ya Mange na YULE JAMAA, namchagua Mange!
 
Siku ambayo alikiba akimtibua mange kimambi (kampeni maneja wa seduce me ) atajuta,mafaili yake yote tusiyoyajua tutayajua na kama atakuwa anamshirikisha ktk maswala mengine nyeti ndio atajuta zaidi ,manake yule dada we mguse kwa bahati mbaya yy atakulipua kwa maksudi ,atakusingizia hata vile ambavyo hufifanyi na si mbali sana uchaguzi wa 2020 ,hapo ndio tutayajua mengi ya kiba .Kiba inabidi awe naye makini kwani yule dada dishi limeyumba na nati zake zake zimepotea .
 
si kweli mange anaakili timamu sema huwa anatonesha kidonda kwa kusema ukweli.
 

Dada kapendeza kwenye hiyo pics. Enzi zipi hizo?
 
Wamependeza
 
yaani huyu binti anavyoachia kiboya hivi..Serikali haijaamua tu kumtafuta..siku ikiamua hata wiki hamalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…