Alikiba! Matatizo ya mziki wako pambana nayo mwenyewe...

Alikiba! Matatizo ya mziki wako pambana nayo mwenyewe...

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio
Sasa hivi anadai kuna msanii kampigia producer ampe material zake za mziki....
Adui wa maisha yako ni we mwenyewe....
Unatoa nyimbo kwa kutegemea huruma za mashabiki...we una kitu gani cha maana MTU akufuatilie ?
 
Yani Kiba kugundua kabisa yy ni mnufaika wa uhasama wao, kila inteview anaonekana anapenda sana haka kaushindan, mwenzie anaudhika kugombanishwa na watu ambao walikuwa wanapata faida kupitia wao ,lkn yeye utasikia mimi sina tatizo nae......ile body language inaonyesha kabisa anaenjoy huruma ya wananchi........kumi ni hiyo inteview alosema watu wanampigia producer wake .....duuuuu!!!!! Et aibiwe madini yake, sasa unajiuliza masozy aibe nani upupu ule!!?
 
Kama wanapiga simu kweli asiseme

Akiulizwa akikataa kujibu anajiskia ,Mara interview yake haivutii
Mwachen jaman

Kama umemchoka kasikilize muziki mwingine umwache mshkaji na mambo yako

Mm namskiliza Nyanshski hata jina lake cjui linatamkwaje ,hata nilivyoandika naic cyo hivyo
 
Wabongo kwenye ubora wao!..
mtu humpendi yeye na mziki wake!.. sasa unamshobokea wa nini?? akitoa nyimbo mbaya inakuuma nini?? au ndo kuteseka??
hivi kila msanii angekuwa anaimba nyegezi.. tungeishije hapa nchini??.. kila msanii na ladha yake.. alikiba ana ladha yake!!..
 
Dogo anafaa sana usanii wa maigizo, mfano kwenye filamu ya demu kikojozi alijitahidi sana. Ila swala la mziki naona anajilazimisha tu.
 
Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio
Sasa hivi anadai kuna msanii kampigia producer ampe material zake za mziki....
Adui wa maisha yako ni we mwenyewe....
Unatoa nyimbo kwa kutegemea huruma za mashabiki...we una kitu gani cha maana MTU akufuatilie ?

watu mliozaliwa na mkatupwa barabarani bana

ali kiba ni king wa bongo flv na sio naija flv

kwa wiki sasa ana trend no. 1..

wazuie wanaompenda!
 
Kweli ukisikia homa ya jiji ni yeye, hahaha na baaaado mpaka mvae kandambili kichwani.

Go Kiba Goooooooooooo.
 
Mi ndo nashindwa kumshangaa, mbona mwenzie Timbulo atumsikii kulialia kila siku kama yeye!
 
Kweli ukisikia homa ya jiji ni yeye, hahaha na baaaado mpaka mvae kandambili kichwani.

Go Kiba Goooooooooooo.
wanasema hana kitu cha kumfatilia.. na bado wanamfatilia mpaka kumuanzishia uzi... Kiba anatesa sana watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio
Sasa hivi anadai kuna msanii kampigia producer ampe material zake za mziki....
Adui wa maisha yako ni we mwenyewe....
Unatoa nyimbo kwa kutegemea huruma za mashabiki...we una kitu gani cha maana MTU akufuatilie ?
Mbona unamfatilia kama hana kitu cha kumfatilia? Unajielewa kweli?
 
Back
Top Bottom