Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio
Sasa hivi anadai kuna msanii kampigia producer ampe material zake za mziki....
Adui wa maisha yako ni we mwenyewe....
Unatoa nyimbo kwa kutegemea huruma za mashabiki...we una kitu gani cha maana MTU akufuatilie ?
Dogo anafaa sana usanii wa maigizo, mfano kwenye filamu ya demu kikojozi alijitahidi sana. Ila swala la mziki naona anajilazimisha tu.
wanasema hana kitu cha kumfatilia.. na bado wanamfatilia mpaka kumuanzishia uzi... Kiba anatesa sana watu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kweli ukisikia homa ya jiji ni yeye, hahaha na baaaado mpaka mvae kandambili kichwani.
Go Kiba Goooooooooooo.
Mbona unamfatilia kama hana kitu cha kumfatilia? Unajielewa kweli?Huyu bwana kila akipata wasaa wa kuhojiwa ...utasikia visingizio vingiiiiiio