Kila kitu na wakati wake
Naona ngoma ikivuma sana mwisho upasuka sasa naona upepo wa Team diamond,Team Kiba umefika mwisho. Hii imetoka na wadau wa Muziki kuchoka na kuona kuwa uwezo wao wakuimba umebaki 2% tu.
Sasa umefika wakati wakuwanyang'anya mikoba na kuwapa wasanii wenye uwezo mzuri wakutunga nyimbo kama (Ben poul, Saida karoli ,Nandy ..nk ...ila sio Alikiba na Diamond wasiojuwa kutunga nyimbo