Alikiba na kundi lako ni heri muimbe Kaswida tu

Alikiba na kundi lako ni heri muimbe Kaswida tu

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu

Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
 
Ifikie mahali tujifunze kusupport vijana wenzetu kwenye juhud zao sio kuwakatisha tamaa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kumuiga Diamond kunampotezea malengo, bora angejitahidi kufanya mazoezi ya nguvu Real Madrid wanatafuta forward sasa hivi.
[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu

Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
We jamaa bwege kweli tena nakuita bwege kabisa.
Badala ya kuwapa support wewe unaponda, vijana wamenaza vizuri kubali kataa ila ukweli ndio huo
 
Vijana Wanabana sauti balaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom