Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
wanatrend kwenye page ya soud na clouds?
WCB bana MNA matatizo.kiba amenza kuimba bosi wenu anapigisha call box zile,wengi wenu mlikuwa na mabirika ya kahawa mnatuuzia kahawa mjini Leo hii mnamwambia kiba hajui kuimba?Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu
Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
Kama humpendi kaa kimyaAlikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu
Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.
Mbona unateseka sanaAlikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu
Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio Bongofleva, Alikiba ni heri uache tu mziki kama huuwezi.