Alikiba na timing mbaya, kapoteza tena pambano

Hv unajickiaj pale unapotumia mwaka kuiandaa post yako kumbe umekosea na umeharb maana nzima? Kiba kashirikishwa na hana mamlaka ya kuamuru wimbo utoke leo au kesho
Kama ningeharibu maana usingeelewa wala kuniquote!... Asante kwa mchango wako.
 
Hamna ushindani kivile ali muimbaj mzuri..mondi pia anajitaid.. nyota tu zimewawakia.. wapo madogo wanajua kuimba zaid yao.. huo ushindani no kiki ZA kibiashara kwa wote ....
 
Mkuu umekosea.
Wimbo uliotoka si wa alikiba yeye alishirikishwa na ashakula chake
Kama utakuwa unafuatilia utakumbuka yule mkenya aliwahi kumlalamikia kwamba amegoma kufanya ngoma ilihali ashalipwa pesa ya kufanya ngoma hiyo kiasi cha milioni 30 kwa mujibu wa Brown Mauzo so ali tusubiri ngoma yake halisi ndo tuje kufananisha hivyo unachokilinganisha
 
yaan mm kwa mtazamo wangu haupo mbali na ww.kiba ilitakiwa ile baada ya kufanya kolabo na r kelly,ilitakiwa asonge mbele.lakn matokeo yake akaona amemalza kazi kufanya kolabo na akina r kelly akawa amekaa tu.mond amemuovateki.amebaki kukimbiza upepo.
 
Nilichoongelea ni jinsi gani Diamond alivyopokelewa na mashabiki ukilinganisha na Alikiba. Soma tena kwenye uzi wangu ndugu mdau
Maelezo mengi pumba tupu... Aliyekwambia huo wimbo wa kiba ni nani??
 
Hao wote wakongo warudishwe kwao wasituletee vurugu hapa.
 

Mbona wimbo sio wa alikiba Mkuu umekurupuka angalia tena ali kashirikishwa
 
Hiyo umesema wewe mkuu! Mimi nimenukuu alichoandika yeye kwenye ukurasa wake wa instagram! jaribu na wewe kutembelea.
Utakuwa umekosea tu mkuu, Instagram uliyoangalia wewe ndo Instagram tuliyoangalia sisi, hakuna sehemu ambapo Alikiba amesema nisamehe ni nyimbo yake, ispokuwa pote kaandika kuwa ni nyimbo ya baraka featuring Alikiba. Kukosea kupo ila kabla hujaendelea kukosea kwa mara ingine rudi tena Instagram ukajisahihishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…