mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Ili uelewe hilo inabidi ujiulize vita ya Iraq ni nani walikuwa wanapigana kule. Ujiulize pia kuhusu vita ya Afghanistan na usisahau chokochoko za uhasama wa kivita kati ya mataifa nani wanakuwa nyuma ya paziaNimesoma na nimekuelewa ila maana nzima ya uzi wako inapotea pale ambapo unachanganya kuhusu nyimbo ya nitulize, ile nyimbo Alikiba ameashirikishwa na msanii wa kenya ambae anaitwa brown mauzo, pia YouTube huo wimbo upo katika channel ya huyo dogo na sio Alikiba, na ata huo wimbo pia umenadikwa brownmauzo ft Alikiba na sio Alikiba ft brownmauzo. Nahisi umeelewa mkuu
Thanks mkuu kwa kuielewa post yanguyaan mm kwa mtazamo wangu haupo mbali na ww.kiba ilitakiwa ile baada ya kufanya kolabo na r kelly,ilitakiwa asonge mbele.lakn matokeo yake akaona amemalza kazi kufanya kolabo na akina r kelly akawa amekaa tu.mond amemuovateki.amebaki kukimbiza upepo.
Anapiga ela ndio lakibi hamuwezi domo,domo anapiga pesa zaidi ya kiba,so far mafanikio ya domo yanaonekana,mafanikio ya kiba hatuyaoni ingawa anapiga pesa mfano domo ana lebo yake wakati kiba yupo chini ya lebo ya wengine ukiachana na ile ya kulala na kuamka kwa mama wakati domo analala kwake,hayo ni machache ya haraka haraka kwa ufupi ali kiba hana tofaut na ray kigos,domo ni kanumba kwanza mbunifu hilo la ubunifu ndilo linalomps credit domo,nyie endeleeni kubana pua wakati mwenzenu anapiga pesaAliyekwambia Alikiba hapigi pesa kakudanganya! Ana mkataba wa Sony na shoo anapiga kama kawa ila huwezi kujua kwa sababu Alikiba si mtu wa kujionyesha mambo yake!
Usidanganywe na maisha ya instagram kijana ni fakeAnapiga ela ndio lakibi hamuwezi domo,domo anapiga pesa zaidi ya kiba,so far mafanikio ya domo yanaonekana,mafanikio ya kiba hatuyaoni ingawa anapiga pesa mfano domo ana lebo yake wakati kiba yupo chini ya lebo ya wengine ukiachana na ile ya kulala na kuamka kwa mama wakati domo analala kwake,hayo ni machache ya haraka haraka kwa ufupi ali kiba hana tofaut na ray kigos,domo ni kanumba kwanza mbunifu hilo la ubunifu ndilo linalomps credit domo,nyie endeleeni kubana pua wakati mwenzenu anapiga pesa
Sawa mzoefu wa kuanzisha thread. Rudi hapo juu usome vizuri katikati ya mistari kuna kitu kitakusaidiaPumba tupu au unajifundisha kuanzisha thread sasa we huoni kuwa domo ndo ana mtiming kiba ilianza kutoka nisamehe(alikiba ft barakah ) ndo domo likakurupa ili aizime nisamehe na ile singeli halafu ule wimbo kiba sio wake ni wa yule mkenya
Team moja tuu Watford [emoji3]
Ingekuwa inakimbiza ungesema ni nyota ya Kiba siyo???? Loosers got reasonsKabla hujaandika uwe unaweka tofauti bayana! Huo siyo wimbo wa ali kiba! Ni wa brown mauzo!
Nikuhusu hiyo ya NITULIZE.Utakuwa umekosea tu mkuu, Instagram uliyoangalia wewe ndo Instagram tuliyoangalia sisi, hakuna sehemu ambapo Alikiba amesema nisamehe ni nyimbo yake, ispokuwa pote kaandika kuwa ni nyimbo ya baraka featuring Alikiba. Kukosea kupo ila kabla hujaendelea kukosea kwa mara ingine rudi tena Instagram ukajisahihishe
Jambo la kwanza hujui maana ya losers! Nenda kasome, Jambo la pili am not a loser, get it in your thick head.Ingekuwa inakimbiza ungesema ni nyota ya Kiba siyo???? Loosers got reasons
Yes big headed looooser with a lot of excuses ...... naiona temperature kwenye uso wakoJambo la kwanza hujui maana ya losers! Nenda kasome, Jambo la pili am not a loser, get it in your thick head.
By the way what is looser? Small mind.Yes big headed looooser with a lot of excuses ...... naiona temperature kwenye uso wako
Nilikuwa na zaidi ya week sijacheka ntumie namba zako niku tigopesa. Umenifraisha.
Huenda ndo wAnapevuka nw...Umeona eeh? Tushachoka kujadili jambo hilihili tokea 2014 [emoji13][emoji13][emoji13]
Siku hizi unamtigopesa mtu hata kwa kutumia ID yake, siyo lazima namba