Alikiba: Nawaona Simba ORIGINAL

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Jumanne hii ilikuwa ni birthday ya mkali wa wimbo Aje, Alikiba ambapo aliungana na uongozi wake kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park kwa ajili ya kusherekea siku hiyo muhimu katika maisha yake.

Hata hivyo mkali huyo amechafua hali ya hewa mitandaoni baada ya kuposti picha yake wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa na kuandika maneno kuwa anawaangalia Simba Original ambapo ujumbe huo umetafsiriwa kama kijembe kwa staa mwenzake Diamond Platnumz ambaye naye ujiita Simba.
 
huyu week hii yote alikua anatafuta kiki halafu hapati!

kaanza na pete ya kijani tukamtizama tu!

akaja na ile video ya snap ya ujanja ujanja
pia tukavunga

hakukoma akaja na ile kajivimbisha domo kama diamond tukampotezea!

hajaacha!!! mara kawaona simba original
mara aseme haogopi simba
na mke mdogo wake baraka akaitikia simba kwetu paka tu!! (maana vacay hii alienda na mke mdogo bi.baraka) jojo anauza mabegi

sijui diamond kawapa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
awanunue tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…