Alikiba ni mbinafsi sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
katika ukurasa wake wa instagram hajamfollow mtu yeyote akimaanisha kuwa hana cha kujifunza wala kuangalia kwa wenzake na mdogo wake nae abdukiba ndio hivyo hivyo, jamaa ana roho mbaya sana ndio maana haendelei

 
Vijana watakuwa na fekero zao sasa hivi insta mtu unaweza kuwa na akaunti zaidi ya mbili unakuwa unaswich tu.
 
Yaani amfollow hata R. Kelly? Kweli ukiwa na matatizo watu wote wanakukataa.
 
Ukifuatilia sana nyimbo za bongo hasa bongo flavour na wasanii wake utaishi kuwa mbea mbea tu.
 
Me watu kama hao huwa sihangaiki kuwafollow sometimes jamii inatakiwa kujitambua MTU gan huyo sasa asie weza follow had mke wake huyu ni kutupa kule ,alaf nilikuwaga namkubali ila nimejaribu sana kumsoma huyu jamaa ni kwel anajisikia sana yaan bora nishabikie wasanii wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…