Alikiba ni msanii mnyenyekevu kuliko Diamond

Alikiba ni msanii mnyenyekevu kuliko Diamond

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Maneno ya Alikiba

"Hutawai niona nikipost pesa, magari makubwa ama vitu expensive namiliki, sio kwa sababu siwezi, ni kwa sababu nayajua haya maisha vyema, kuna watu wanateseka na wanatamani izo pesa na hayo maisha unayoposti.
Haina haja nipee mashabiki wangu pressure na hao ndio wamefanya mimi niwe tajiri ama nimiliki hivyo vitu. Kama sio mashabiki singekuwa hapa nilipo."
FB_IMG_17193281341292038.jpg

Kuna msanii humble kama huyu Tanzania kweli?
 
Jibu hoja yake nipo apa nasubiri jibu .
Swali lake ni zuri na halina majibu sababu yupo sahihi.

Hoja yangu ni kwamba, sio sahihi kutaka mtu A awe sawa kitabia na mtu B katu hatuwezi kua sawa
Kila mtu afanye kinachompa furaha muhimu havunji sheria

'Piga picha na pesa zako hakuna aliyekusaidia kutafuta'
'Usipige picha na pesa zako wachawi/wezi wasije kufanya yao'
 
Back
Top Bottom