Alikiba ni mzuri kwenye kuimba ila sio mtumbuizaji mzuri

Alikiba ni mzuri kwenye kuimba ila sio mtumbuizaji mzuri

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari Wanajf,

ALIKIBA-3.jpg

Kwakweli nilitegemea wonders kutoka kwa Alikiba kwenye show hii ya Ufunguzi wa Michuano ya African Super League, labda anaweza akaja tofauti kutokana na ukubwa wa event yenyewe, lakini tatizo lake limebakia lile lile sio good performer.

Kaimba kichovu sana, hii ndio ilikuwa nafasi ya kuonesha kwa huo huo wimbo mmoja ulioimbwa.

Suala la kutumbuiza linategemea na muda uluopewa, hata Jay z ukimpa dakika 5 unafikiri atafanya nini
 
Suala la kutumbuiza linategemea na muda uluopewa, hata Jay z ukimpa dakika 5 unafikiri atafanya nini
Kwani diamond katoboaje kupitia hizo hizo dk the rest imekuwa history
 
Back
Top Bottom