Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Asubirie moto wa kipare sasaAmemjibu mange!!! Shamefull
Katuaibisha 🇹🇿Angekubal Tuu
Kuna watu wanazali, yaan had bahati mbaya kwao nzuri🤕🤕Kiba kakosea sana
Kutafuta league na Mange ni ujinga.
Mange ni mwehu sana atamharibia sana
The best way was to keep quite.
We all men knows what happened.
Mwanaume Hakwe?
Tena mbongo? Labda choko
Huyu dogo anaishi kama maisha yake, ni msanii....never take him serious. Labda abakwe na demu kama Mange tu.Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani.
Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel.
Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha chumba chake alichokodi. Lakini baadae alitushwa na wadada watatu walioingia chumbani kwake.
Wazungu wanamsemo, “Every coin has two sides”!