kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.