kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Braza naona umeshiba pilau la sikukuuKwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Pilau hilo umeshiba mpk hujielewi.
Hata sijala nasikia harufu tu kutoka kwa majilani.Braza naona umeshiba pilau la sikukuu
Hahahaaa badala zijae tumboni zinajaa kichwani, #BOGUSPILAU zishaanza kujaa kichwani!
Hakuna cha kupangwa wala nn jamaa kibabe tu.Kuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaopenda wnaume wababe.
Na kama ni wimbo huenda ilipangwa kuwa hivyo.
Heri ya Krismas
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Halafu wengi mnaonyesha kuwa hamjaelewa mantiki ya ile scene inayo muonyesha kiba akiongea na yule manzi kisha yule manzi aka kataa mo faya na kuagiza mzinga ...Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
ππππ akikujibu nishtue mkuuMkuu wewe ni mkewe?
Njoo getto ndo utajua jinsia yangu.Ww Ni Jinsia Gani?
Soma thread uelewe usikurupuke tu kama umetoka kuzini.Mkuu wewe ni mkewe?
Nakaziaππππ akikujibu nishtue mkuu