Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario
Umeongea fact yule ameshazeeka 40 years sio mchezo.
 
Aliyeandika mwenyewe hajasikiliza nyimbo. Kaandika kukandia tu sijui ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…