Alikiba umetuangusha watanzania

afadhali aisee mtuache na sisi tupumue


huyu ana mengi maishani ukisoma post zake za nyuma haoni aibu kuwa busy kupangia wengine maisha wakati yake bado...vijana wa aina hii tabu tu

akatae kazi show ya mwisho sijui ilikuwa lini ya umati mkubwa wanataka bado akae chini ya mwembe....mbavu zangu
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Kwanini umchagulie mtu wa kumpenda?
 
Mama wacha leo akina Kimbley watuchambe.
Kusema kweli sijapendaaaaaa!
Mxiiu zake

Kwakweli vichambo vipokeeni tu maana hamna namna heheheeeeh!
Mie nilikerekwa sana hata zile vote for kiba nimesitisha sasa hivi nina allergy na mapopoma yote yanayoishabikia CCM!
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Afadhali angetunza kura yake akaenda kumpa magufuli ila sio kwa kuwakampenia aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…