Mbona kama umeling'ang'ania jambo usilolijua?
Sasa mimi ndio ninayekwambia endelea kubishana na ukweli.
Mimi ndio ninayejua a to z sasa wew bisha simu yako bando lako.
Freedom
Aisee! Anyway, ahsante kwa taarifa and for that case am very sorry for Kiba kuona kumbe anaweza kushinikizwa na mashabiki wa Wema na akawatii na kuwasaliti mashabiki wake mwenyewe ambao kabla walimpongeza! Na kama ndivyo, basi hata ile show ya Mtwara inaelekea ama alishinikizwa na mashabiki wa Wema au Wema mwenyewe!Mbona kama umeling'ang'ania jambo usilolijua?
Sasa mimi ndio ninayekwambia endelea kubishana na ukweli.
Mimi ndio ninayejua a to z sasa wew bisha simu yako bando lako.
Freedom
Hakika cute b umekuwa na umekua na busara sana. Hongera.
Hahahaa asante bhana.
Siku hizi hili jukwaa silitaki kabisa linaweza mfanya mtu akawa chiz
Mtani mambo?..
Mwenzio nimestafu bhana
Ahahahaaaa hongera bhana!!mi bado bado kidogo
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Hahahaa asante bhana.
Siku hizi hili jukwaa silitaki kabisa linaweza mfanya mtu akawa chiz
Kumbe kibakuli ni mpumbavu tuuu kama diamond.....
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Miss you cute b mi ndo limenitoka bora zamani ilikua ubuyu kwa kwenda mbele.
Mwenyewe mami zimesha ni bore hilo jukwaa enzi zake za ubuyu lilikuaga linanoga sana hawa wakata viuno habari zao siko interested nazo. Leo nimepitia accidentaly baada ya kuona comments yakoI mis you too my Diva Beyonce.
Siku hizi nikija humu sipati ladha kabisa.
Habari ni kiba na domo tuu
Hawa wote empty set aisee bora hata domo kafaidika huyu kibakuli ndo hamna kitu kabisa
Hamna afadhali wote wale waleHa haa bora kiba kafanya kimya kimya...ila domo yeye paka katukera sasa atajipigia kura mwenyeweee