Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Tanzania kwasasa FESTA ni tamasha liloshika kasi na kupendwa na watu wengi kutoka na kuwa na Wasanii wengi wanaopendwa na watu Tofauti tofauti tofauti! Haina ubishi kwa kiingilio cha Elfu 9/10 ni watu wengi sanaa wanao ingia kwenye Show!

Kati ya wasanii waliopo kwenye Tamasha Hili ni pamoja na ALIKIBA! Kilicho nisikitisha ni baada ya kuona picha alizo piga alikiba Hotel aliofikia akiwa na Mdada inaesemekana ni MUUZA DUKA! Sasa nilicho kuwa najiuliza KWA KITANDA KILE na ukubwa wa show Je wasanii wetu hawa wanalipwa vizuri kwelii au wanafanyishwa kazi kwa malipo kidogo? kwa kitanda kile ni kwamba hawa wasanii wanalala kwenye hotel ambazo hazizidi elfu 25 kwa siku je hiyo ni hadhi yao kweli au wanaonewa?

kingine ni Je Alikiba Alipo kuwa anapiga picha yule inaesemekana ni Shabiki wake alifikiria kabla ya kutenda au alizimishwa na Meneja wake? Mana Wamepiga picha wakiwa nje wakiingia hadi chumbani picha zikaendelea swali ni Je ALIKIBA HAJAMLA YULE DADA KWELI?

Ila bado Mm nasema kile KITANDA sio Hadhi ya ALIKIBA na msanii mwingine yeyote! Si kitakuwa kinapiga kelele! HAPANA FIESTA badirisheni Utaratibu kama MWANZA wanalala sehemu ile Je KIGOMA watalala sehemu Gani?
 
Nana hamuachi mtu salama...
Uchu na tamaa za kidenzi leo unajishushia heshma hvhv
 
Hilo toto liko sawa asee.

Mengine nawaachia wengine!
 
Nimependa nyonyo la huyo dada jamani, duka lake lipo pande gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…