Alikiba vs Yamoto band

Alikiba vs Yamoto band

makilo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
2,620
Reaction score
5,260
Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima.
Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na Best Male Artist in Eastern Africa.

Alikiba ametajwa kuwania kipengele kimoja cha Best Male Artist in Eastern Africa huku kundi la Yamoto Band likitajwa kuwania kipengele cha Revelation of The Year.

Hata hivyo mwaka huu kuna upungufu mkubwa wa wasanii wa Tanzania kwenye tuzo hizo. Tuzo hizo zitatolewa November 6 jijini Lagos Nigeria.
Wakuu Hiv Hii imekaaje? Hiv nigeria sisi wapenzi wa mziki wa ali wanatuchukuliaje?

wakati mondi katoa utanipenda sisi tukatoa chekecha cheketua,inakuwaje eti leo hii hawaja iyona ile wanakuja kuiona hii aje ya mwaka huu?
Kwanini na yeye wasingemuwekea hii KIDOGO ya mwaka huu?
Kuna mazingira gani wanamuandalia diamond?

Yamoto 1 king 1,kwahiyo hii sisi ndio levo yetu?....
 
wakati mondi anatoa nyimbo ambazo mnasema hamuzielewi
wanaijeria wanazielewa
hadi mbuzi wa kutaga wanamjua
Me Nadhani hawa akina babu tale kuna mchezo wanaucheza sio bure
 
Pagani
Eti sisi tumetoa cheketua, kama ulikuwepo studio vile wakati anarekodi.
We Mwenyewe angalia tu kati ya hizo nyimbo mbili ni ipi ilikuwa moto wakuotea mbali?
 
Inabidi mkafanye maandamano mpaka ubalozi wa Nigeria.
 
Me Nadhani hawa akina babu tale kuna mchezo wanaucheza sio bure
Tatizo huwa mnahisi nyimbo inavyopokelewa bongo ni sawa na nchi zote za africa
Nyimbo zako zinaweza zikawa zinapigwa trace, mtv na sound city lakini usitoboe nigeria,
Wanaigeria wana kasumba sana ni diamond alipata bahati kukubalika huko.
Nenda hata youtube kasome comments kwenye nyimbo utaona kwa diamond kuna watu wengi wa mataifa mbalimali na kwa alikiba utaona karibia wote ni wabongo na wakenya
 
kwahiyo mkuu ndio kusema no 1 diamond 2 diamond 3 pia yeye?
mi nadhani kwangu mie ishafikia niamini tanzania kuna diamond mmoja peke yake.
 
Kwaiyo

kwahiyo mkuu ndio kusema no 1 diamond 2 diamond 3 pia yeye?
mi nadhani kwangu mie ishafikia niamini tanzania kuna diamond mmoja peke yake.
No mkuu alikiba anauwezo wa kuwa kama diamond , cha kwanza lazima afanye collabo na wasanii wa naija na south africa hii ndio njia kubwa ya kutoboa, mfano aje huku east africa hasa bongo na kenya ni hit song lakini bado haina ukubwa west africa na south africa
 
Back
Top Bottom