Alikiba vs Yamoto band

Hivi ali kiba alipenda mwenyewe kurudi kwenye muziki au alilazimishwa?

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anaefanya kazi anayoipenda sana na yule anaefanya kwa force ya wazazi au watu fulani..

Aliyeweka neno 'retire' alikuwa na akili sana. Creativity ends with age and time sometimes
 
We akili yako imepatwa ..
Si bure.
 
WEWE WASEMAA,BUT KIBA DESERVES IT
 
Mkuu Nadhani moja ya kosa kubwa analolijutia Ally ni lile lakuwa kimya kwa miaka kama mi3 hv

Tatizo lililo mfanya kiba akae kimya kwa kipindi chote icho,lilishawahi kumkuta Nassibu bt Nasibu aliweza kulismamia ila ally lilimchemsha.
 
wakati mondi anatoa nyimbo ambazo mnasema hamuzielewi
wanaijeria wanazielewa
hadi mbuzi wa kutaga wanamjua
Diamond anacopy mziki wa huko Nigeria ndo mana anakubalika Sana huko
 
Eti sisi tumetoa cheketua, nyinyi kina nani? Unaongea kama ulikuwepo studio vile wakati anarekodi.
Si ndo hapo sasa, hawa ndo huwa wanachochea ugomvi au kutokuwa na maelewano baina ya wasanii
 
Hivi kwann wabongo mnapenda kuwagawa wasanii , hamuoni nyie ndo mnachochea ugomvi Kati yao, mbona huko Nigeria hawana hizo mambo ila wabongo unafik mwingi ndo mana hatuendelei
 
Hivi kwann wabongo mnapenda kuwagawa wasanii , hamuoni nyie ndo mnachochea ugomvi Kati yao, mbona huko Nigeria hawana hizo mambo ila wabongo unafik mwingi ndo mana hatuendelei
Mmoja kati ya WANAFIKI ni WEWE mwenyewe..!!!
 
Diamond>>>>>>>>>>>>Ali Kiba>Ya moto

Ni hayo tu
 
teh.. kazi kweli kweli.. ila mashabiki wa kiba tumekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…