kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Huyu wa sasa,anatengeneza muziki ambao kama ungekuwa mchele basi ungekuwa ule wa plastic wa china,ama Thailand...unamezeka kwa taabu!Jaribu kurudi nyuma utakuwa juu sana!nimeona Duly amerudi kafanya vyema sana,kila la heri,mimi ni fan wa bongofleva na si bongoniger