Alikiba :wamekurupuka hawawezi kunishusha kwa fitina mange kimambi shabiki yangu

Alikiba :wamekurupuka hawawezi kunishusha kwa fitina mange kimambi shabiki yangu

Joined
Oct 4, 2016
Posts
49
Reaction score
81

Msanii anaye hit kwa sasa na hit song inayo kwenda kwa jina la seduce me Alikiba amezungumza kwa mara ya kwanza na kufunguka mengi

Alikiba amesema kila mtu anajua ubaya ambao unafanyika juu yake na ndio maana kwa kutambua hilo mashabiki wake wameweza kumuelewa na kum sapoti

Aidha alikiba amesema kuwa hujuma ambazo amefanyiwa na wenzake kutaka kuzima muziki wake wamekurupuka kwa kuwa yeye anafanya mziki mzuri na hashindani nao kwa kuwa wakushindana nao hawapo

Alikiba amesema kuwa licha ya kuwa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kutoelewana na mwanaharakati mange kimambi kwa kuwa alikiba ni kada wa ccm huku mange kimambi ni maji na moto kwa ccm .Alikiba amesema kuwa mange kimambi kwa sasa wanaelewana na shabiki yake mkubwa sana

Kwa muda wa weekend nzima mwanaharakati mange kimambi ameacha shughuli zake za kisiasa na kuamua kum sapoti alikiba kwa kupost clip mbali mbali za mashabiki wa Alikiba wakionesha ujuzi wao wa kucheza.

Kupitia hatua hiyo nyimbo ya alikiba imefanikiwa kutawala mitandaoni na kuvunja record ya kuwa na views wengi kwa muda mchache kuwahi kutokea bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah sasa nimeanza kuelewa, wengi wanaomponda D wanamponda kwa sababu aliwambia wanuka chupi, sasa inamana wanaomsapoti Kiba sasa ni wale wanuka chupi waliokuwa kwa Daimond, sitawashangaa kwa matusi yao, mana mtu huwezi kufua chupi busara utaitoa wapi??!!!
 
Sio Mondi peke yake atamchukia Mange Magu fool anakosa usingizi juu ya Mange. Na Mange ni km Maji tu
 
Daah sasa nimeanza kuelewa, wengi wanaomponda D wanamponda kwa sababu aliwambia wanuka chupi, sasa inamana wanaomsapoti Kiba sasa ni wale wanuka chupi waliokuwa kwa Daimond, sitawashangaa kwa matusi yao, mana mtu huwezi kufua chupi busara utaitoa wapi??!!!
Hapana,ni hasira tu za kuchapiwa bi mkubwa na vi ben10[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hivi utaratibu ni kupeana muda wa kuachia nyimbo?, kila mtu aachie nyimbo yake muda atakao, kama kazi ni nzuri itauza tu sokoni..
 
Back
Top Bottom