AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Teh teh.....watu huwa hawajibu maswali....teh te
 
Kumbe views za seduce youtube mlikuwa mnanunua?

Tukumbushane wandugu seduce me nà zilipendwa nani anaongoza kwa view sasahivi
 
HAPA NDO NAAMINI KUNA WATU WANAFKIRI KWA KUTUMIA MAKA."####OO .......DIAMOND AKIFANYA OOOH KANUNUAA....IWE IVO ICWE HIVO.THAT MAN IS EXTRAORDINARY....ATA KAMA KWELI KANUNUA VIEWERS ....BAC NI MUTOTO YA MUJINI.....
 
Diamond ft ne yo 16m au hii sio vevo akifikisha huyo kibakuli wen
 
Acha ujing.a....kuwa vevo sio sheria
Wiz khalifa hayupo vevo na track yake see u again ilivunja rekodi ya viewers wengi

Ed shareen hayupo Vevo pia...na ana nyimbo zake zina billions views....

Nina mifano mingi sanaaaaaa ya wasanii wakubwa ambao hawapo vevo....kuwa vevo sio sheria ila ukiingia contract na UMG au Sony music wanataka uingie vevo...na hao ndo waanzilishi wa vevo
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Alikiba una "Mafansi" wajinga wajinga sana. Akili zao ni Za kushikiwa na Mange.
NI AIBU KWA KIJANA RIJALI KUOMBA KUTOMASWA TOMASWA (seduce me). Ni viashiria vya Tabia Chafu.
Ukiwa na demu wako chumbani huwa haku seduce mkuu?
 
unawashwa ww nani kakuambia Vevo viwers hawanunuliwi

YouTube slashed 156 million views from Lady Gaga’s VEVO channel this week. The move comes exactly one month after the video-sharing site, owned by Google, stripped the cumulative view counts of channels belonging to Universal Music Group (UMG), Sony/BMG, and RCA Records by more than 2 billion views.
 
Kwa hiyo ukiona kiingereza tu unaamini sio? Au unataka kuhalalisha fake views za Domo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…