daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,479 Reaction score 3,405 Dec 17, 2025 #21 Idiot Imbecile said: Dangote aache wivu anataka yeye peke yake ndo asomeshe shule za maana Click to expand... Siyo wivu Huyo jamaa anahusika uagizaji wa mafuta kutoka nchi za nje wakati ana refinery hapo hapo. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kahongwa na makampuni ili wanunue nje.
Idiot Imbecile said: Dangote aache wivu anataka yeye peke yake ndo asomeshe shule za maana Click to expand... Siyo wivu Huyo jamaa anahusika uagizaji wa mafuta kutoka nchi za nje wakati ana refinery hapo hapo. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kahongwa na makampuni ili wanunue nje.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,912 Reaction score 46,240 Dec 18, 2025 #22 gallow bird said: Ufisadi ufisadi,na fitna za wavaa magauni ni fitna za wavaa magauni, hakuna muislam tz aliyetetea ufisadi wa mtu kisa muislam mwenzie Click to expand... Wewe mwenyewe unatetea majizi na wauaji wenzako kisa dini yako
gallow bird said: Ufisadi ufisadi,na fitna za wavaa magauni ni fitna za wavaa magauni, hakuna muislam tz aliyetetea ufisadi wa mtu kisa muislam mwenzie Click to expand... Wewe mwenyewe unatetea majizi na wauaji wenzako kisa dini yako