Alikufa kwaajili yangu

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Nina kisa kili nikuta mwenzenu. Sijui natokaje hapa ili nisahau hii hali. Kila nikikumbuka nakosa amani kabisa. Iko hivi, kuna demu mmoja wa kiarabu mtoto shombe shombe rangi nyeupe kama vile huwa anaogea maji ya kilimanjaro, mtoto jicho limekwiva na ana hips zile tunaziita high hip. Akiongea sauti ni kinanda na ana drive Be My Wife... haaa unashangaa BMW ndio gari.

Sasa huyu demu mie nilikuwa nimemuelewa sana so kama gentle man nikatupa ndoano. Demu alikuwa very hestitant kunikubalia laki mwisho akakubali tukawa wapenzi. Demu alikuwa anajitoa kwangu mno, sikukwama chochote kabisa. Ofcourse nilitoa hadi sadaka ya shukurani kwa Mungu sababu tu ya kumpata kwa huyu demu.

Kuna siku kama zari tu. Demu aliniita tukaenda mahali tukala chakula vizuri na kunywa tulivyovipenda. Tukapiga stori za hapa na pale si nikagusa maada ya utamu, binti akawa mkali. Muhuni nikawa mpole maana wanasema kuku wako manati ya nini. Basi muda wa kuagana nikiwa ndani ya gari lake niliamua kumbusu. Ohh alinibusu back na kunipa maronce kama yote. Dakika chache mtoto kalegea mithili ya mlenda anahema juujuu. Huyoo nikapindua kiti nikamjia kwa juu... ohh machoni she was very cute, her black coloured eyes...ohhh so beautiful. Huyu mtoto Latifaa, aliumbwa akaumbika, haswa ni mzuri.

Nikaendeleza ufundi wa jandoni, huku na yeye akinipapasa hapa na pale. Kimoyo moyo nikajisemea huyu amekisha. Nikawza vile familia yao walivyo na mali ninamkula mpaka anihonge yaani.


Ufundi nikauendeleza kiustadi, pa kubusu nikabusu, mate nikapewa nilivyofika pointi ya kushusha mkono kwenye buyu la asaliii, ohh mtoto ana tumbo laini kama la nyoka. Akawa akitetemeka kama kapigwa shoti....ewaaaah nikajisemea point tatu muhimu nabeba. Nikachezea kitovu. Ni muda sasa wa kushusha mkono huku chini iliko mea Adams Apple...ohhh nilisukumwa na kutupa mbali. Nikashangaa mno, binti alivyokuwa amelegea amepata tena nguvu wapi...?

Akabadilika kabisa, chozi likaanza kumtoka. Nikiwa pembeni yake sijui hata nimwambie nini mara akaniambia:

"Trojan please forgive me."
Nikawa nimeduwaa sijui cha kumjibu.

"I am sorry Latifaa, sina nia ya kukudhuru but kwanini unisukume hivyo? Nikaongea huku nikiona kila dalili ya kushindwa kula tunda la adams apple.

Latifaa akanisogelea na kunibusu, kwa huba akanichombeza.
"Trojan nikiri toka moyoni nakupenda, nakupenda mno. Ila hutaweza kunivumilia!"

"Nina kisu kikali, na naweza kula nyama, nipe please I will never let you down" nikamwambia nikiamini labda kaona sitaweza kula tunda vizuri. Ofcourse mwanamke mweupe mzuri kama Latifaa kwa mwanaume asiyejiamini huwezi hata kumtokea. So nilihisi maybe anahisi sitaweza kuichapa vema.

Basi kila nilichojaribu siku hiyo kilifeli. Nikaomba niondoke. Nikambusu na kufungua mlango wa gari na kuondoka pole pole nikiwa na hisia mchanganyiko.

Baada ya hatua chache, akaniita. Nikageuka akaja kunihug na kuniwekea kitu mfukoni. Kisha akarudi na kuitekenya BMW yake, kwa mwendo mdogo mdogo akasepa kwao.

Nilifika home nikiwa na hasira mno. Nikakumbuka kuna kitu aliniwekea mfukoni. Kucheki Latifa aliniwekea dola 100. Sikuona maana wala thamani ya ile pesa sababu nia yangu ilikuwa kula Adams apple. Ameninyima tu, au yule ni jini nini? Au nimeharakisha sana nini? Mawazo na majibizano yalishika hatamu katika bongo ya kichwa changu huku nikianza kupata maumivu ya kichwa kwa mbali.
Nilishtushwa kutoka katika lindi la mawazo kwa mlio wa simu ikiashiria kuna ujumbe umeingia.

Bila kusita nikafungua, mtumaji alikuwa ni yeye Latifaa. Nikasoma ujumbe ule kwa umakini mkubwa mno.

"My love Trojan. Nina uhakika utakuwa umechukia. Ninakupenda lakini nisingeweza kufanya vile na wewe. Mimi unavyoniona ni mwanamke ila huku chini nina maumbile ya kiume. Najichukia, nawachukia wazazi wangu kwanini walinizaa. Najiuliza kwanini hawakunisaidia nikiwa mdogo ili nitibiwe? Sitaolewa wala kuwa na familia, sitaweza kuwa na mwanaume sababu ya hii hali. Najichukia kwanini nilikupenda. Muda wowote nitakatisha maisha yangu. Ni afadhali kufa kuliko kuishi katika hali hii. Trojan uje kwenye msiba wangu, njoo baba uniage. Mimi nakupenda, nitakupenda na utaishi hata katika roho yangu....ni mimi Latifa"


Nilimaliza kusoma ujumbe ule mrefu na kushindwa kujua nini cha kufanya. Sijui hatima ya mrembo Latifa huko kwao itakuwaje. Nilijaribu kupiga simu yake na ilikuwa haipatikani.
 
Auna bahari mkuuu
Una nuksiiii chafuuuu vibaya
 
Kwa akili yako nini kinakuambia kajiua kwa ajili yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…