Alimaanisha Nini?

Una bahati sana, kuna shoga angu alipata ujauzito wa skype na jamaa likakimbia.
Siku ingine kumbuka kutumia kinga hata VVU vinapita

Kiukweli huyo mtu anakuheshimu sana, alikuwa anaflirt tu
Hakuwa na la maana zaidi ya chit chat za mapenzi.
Je angegonga mzigo, si ungepagawa???
 
Huwa sigusi laptop ya mtu mie
Zimejaaa nanihii tu

Hahahahahaha! Kwahiyo screen zinapata mimba ile mbaya........... Leo ndo nimejua kumbe hata screen zinafanya abortion>>>>>>
 

Mh!, what was he done to u my dear?
 
hivi inakuwaje lakini? kweli mimi kukusaidia au kukuelekeza tayari inakuwa vile? hapana hajakosea kwani saa zingine wanaume tunaheshimu hisia za kina dada....nakumbuka hivi juzi tukiwa training dada moja tena alikuwa bikra kamng'ang'ania mshikaji, wakati anjua mshikaji ana mchumba wake akidhania atambadili, basi mshikaji katii hisia za huyo dada kamtoa na akaachana naye..chezea chatu weye
 
Hakumaanisha chochote, sema wewe ulitaka kuwa na maana! Just thinking
 
hivi Kongosho na Asprin kwenu wk end huanza lini? manake kwa kauli zenu aelekea viroba vishapanda kama si castle milk stout lol!
 
Last edited by a moderator:
Usimwone mbaya, yeye alikugundua kuwa ulikuwa na tatizo la kisaiklojia na ili uweze kufanikisha masomo yako ulitakiwa kupewa tiba hiyo aliyokupatia lakin hakuwa na mpango wa mapenzi wala hakuwa na tamaa na wewe. Vinginevyo angeli kupapatikia uliporudi ili umpatie uroda kisha akumwage!.
Yakupasa umshukuru kwa kukuwezesha ukamaliza masomo yako kwa furaha. Labda kama kuna jingine ulilotuficha, vinginevyo He is a good guy and you must be proud to meet him, then go his way don't blame!, look for your man!.
Na mimi nampongeza kwani lengo lake amelifanikisha bila kukujeruhi.
 
ha haaaaaaaaa, Kongosho sasa hapo kwenye RED umetuingiza chaka, fafanua tafadhali
 
Last edited by a moderator:
kama event yoyote inahusu "LOVE" sishangai kwa lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…